SAMPLE LESSON FORMAT FOR MPANGO KAZI WA UUNDAJI WA MANENO- KISWAHILI KIDATO CHA PILI
1. CLASS INFORMATION
DATE STREAM PERIOD TIME NUMBER OF STUDENTS
40 Mins. REGISTERED PRESENT

2. COMPETENCE:
Bainisha mofimu katika sentensi

3. GENERAL OBJECTIVES:
Kutumia maneno ya ufasaha

4. SPECIFIC OBJECTIVES:
Kufikia mwisho wa kipindi, mwanafunzi aweze:1. Kubainisha mofimu katika maneno

5. MAIN TOPIC
UUNDAJI WA MANENO

6. SUB-TOPIC
Kutumia uambishaji

7. TEACHING/ LEARNING MATERIALS
Kiswahili Kidato Cha Pili, Kitabu Cha Mwanafunzi; Na Taasisi Ya Elinu Tanzania

 8. TEACHING/LEARNING AIDS
Chati za ukutani zinazoonesha Viambishi Kwenye maneno

TEACHING STRUCTURE
STAGE TIME TEACHER'S ACTIVITIES STUDENT'S ACTIVITIES   ASSESSMENT
INTRODUCTION 5 waongoze wanafunzi wataje vitenzi kadhaa Wanafunzi wavitaje na mwalimu aviandike ubaoni. Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
PRESENTATION 20 waongoze wanafunzi kubadili vipashio mwanzoni na mwishoni mwa maneno hayo. Wanafunzi wabaini mabadiliko ya maana kutokana na mabadiliko ya viambishi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REFLECTION 5 waongoze wanafunzi kutoa fasili ya mofimu Wanafunzi wafanye mazoezi ya kubadili maana za maneno kwa kubadilisha mofimu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
REINFORCEMENT 5 waongoze wanafunzi kutoa fasili ya mofimu Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi
CONCLUSION 5 Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi

STUDENT'S EVALUATION
Kwa zaidi ya asilimia 90 ya wanafunzi wameelewa kipindi kwa ufasaha

TEACHER'S EVALUATION
Maarifa ya kutosha nimeyatoa, na idadi kubwa ya wanafunzi wameelewa kipindi

REMARKS
Kwa wanafunzi ambao hawakuelewa mada vyema, watahudhuria watahudhuria vipindi vya ziada

FILL THE FORM BELOW TO DOWNLOAD MPANGO KAZI WA UUNDAJI WA MANENO- KISWAHILI KIDATO CHA PILI For T.Sh. 1,000/=

For Call,Sms&WhatsApp: 255769929722 / 255754805256